Header Ads

Mbunge JANET MBENE Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya ILEJE

 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akipokea Risala kutoka kwa Ocd Wilaya Ileje.

 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene, akikabidhi Laptop kwa OCD wa Wilaya ya Ileje kw ajaili ya kusaidia kazi katika Wilaya hiyo.

 Mbunge wa Ieje , Mh Janet Mbene, akikabidhi Matairi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Ileje Hamida Mbogo.

 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akipokea mkono wa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje  Joseph Mkude mara baada ya kukabidhi laptop, Photocopy Mashine, Matairi na Rim tano.


No comments

Powered by Blogger.