Header Ads

Rais Dkt ALI SHEIN azindua Kongamano la Tatu la " DIASPORA "


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoaHotuba ya ufunguzi wa Kongamano la 3 la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi "Diaspora"leo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Wajumbe wa Kongamano la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi "Diaspora"katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofunguliwa leo.

(
Picha na Ikulu)

No comments

Powered by Blogger.