Header Ads

TAMWA yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa Kujadili Changamoto Uchaguzi Mkuu 2015

Chama cha Wanahabari Wanawake nchini, TAMWA, kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyotolewa na chama hicho kwa wanahabari hao wakati wa kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, kwa kuangazia usawa wa kijinsia kati ya Wanawake na Wanaume katika mchakato wa uchaguzi huo.

Pichani ni wanahabari hao wakiwa kwenye semina ya siku mbili kuanzia leo, inayofafanyika Jijini Mwanza, ambapo imelenga kujadili namna mafunzo yaliyotolewa mwaka jana na TAMWA kwa kushirikiana na taasisi ya INTERNEWS yalivyosaidia katika suala la usawa wa kijinsia kabla na baada ya uchaguzi mkuu pamoja na changamoto zilizojitokeza.

Mkufunzi wa semina hiyo, Deodetus Balile, ambaye pia ni Mhariri gazeti la Jamhuri.

Semina kwa Wanahabari Kanda ya Ziwa.

Godfrida Jola (kulia) akiteta jambo na Edson Sosten (kushoto), wote ni Maafisa Miradi TAMWA.

Baadhi ya Wanahabari Kanda ya Ziwa, wanaoshiriki Semina ya TAMWA Jijini Mwanza.

Wanasemina...


No comments

Powered by Blogger.