Header Ads

Meja Generali GAUDENCE MILANZI amewataka Majangili Kutafuta Kazi Nyingine ya Kufanya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi akifunga mafunzo maalum ya kupambana  na ujangili kwa Askari wanyamapori katika Pori la Akiba la Rungwa mkoani Singida jana. Mafunzo hayo yatawasaidia Askari wanyamapori kupata taarifa za kitenteligensia kwa ustadi wa hali ya juu katika kupambana na kukabiliana na  majangili. 
Baadhi ya askari wanyamapori waliohitimu mafunzo wakiwa kwenye paredi jana katika Pori la Akiba la Rungwa mkoani Singida,Mafunzo hayo yatawasaidia Askari wanyamapori kupata taarifa za kitenteligensia kwa ustadi wa hali ya juu katika kupambana na kukabiliana na  majangili.
Askari wanyamapori wakionesha kwa vitendo wakati wa kuhitimu mafunzo maalumu  yaliyofanyika katika Pori la Akiba la Rungwa  Mkoani Singida yaliyohitimishwa jana wakionesha namna ya kujificha wanapomkaribia jangili ili waweze kukamata. 
Askari wanyamapori wakionesha kwa vitendo wakati wa kuhitimu mafunzo maalumu  yaliyofanyika katika Pori la Akiba la Rungwa  Mkoani Singida yaliyohitimishwa jana wakionesha namna ya kupambana na majangili  wakati  wakimkama ta jangili akiwa amejisalimisha yeye mwenyewe.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress akizungumza wakati wa kufunga mafunzo maalumu ya ya kupambana  na ujangili kwa Askari wanyamapori katika Pori la Akiba la Rungwa mkoani Singida jana,Mafunzo hayo yatawasaidia Askari wanyamapori kupata taarifa za kitenteligensia kwa ustadi wa hali ya juu katika kupambana na kukabiliana na  majangili. 

No comments

Powered by Blogger.