Header Ads

Profesa MBARAWA akutana na Ujumbe Kutoka JAPANI wajadilli Fursa Sekta ya Miundombinu

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu. Kulia kwake ni Rais wa  chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimuonyesha Rais wa  chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano na ujumbe wake taarifa ya maendeleo ya Miundombinu nchini,  walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano (wa nne kulia)  akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.

No comments

Powered by Blogger.