Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi
Hamad Masauni (katikati), akielekea ukumbi wa mkutano wakati wa kikao
alichofanya na askari wa Jeshi la Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani.Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la
Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani,
Kamanda Mohamed Mpinga.
Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi
Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Askari Polisi hao ni wadau muhimu katika kufanikisha Mkakati wa Baraza wa kukabiliana
na ajali za barabarani nchini uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani.
|
Post a Comment