Header Ads

Rais JAKAYA KIKWETE na Waziri JOHN MAGUFULI Washiriki Mazishi ya Diwani, BAGAMOYO

1 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa Agosti 18, 2015  kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo.

2 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera  aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo  mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. Katikati ni Mama Salma Kikwete.

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.