Header Ads

Rais JAKAYA KIKWETE, amtambulisha Mgombea Urais na Mgombea Mwenza wa CCM, Kwa Wazee wa DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam 
leo Agosti 19, 2015.
Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Bi Samia Suluhu Hassan baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam.
Meza Kuu Ikifurahia Jambo.

No comments

Powered by Blogger.