Muwania Ubunge Jimbo la Vunjo, INNOCENT MELLECK SHIRIMA, achukua Fomu
| Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo. |
| Mgombra Ubunge wa jimbo la unjo kupitia chama cha Mapinduzi,Innocent Shirima akionesha fomu zake za kuwania Ubunge katika jimbo hilo. |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shrima akiwa na makada waliomsindikiza wakati alipofika ofisi za msimamizi wa uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu. |
Post a Comment