Header Ads

Dkt JOHN MAGUFULI, azindua Kampeni za Urais Kwa Kishindo, Wananchi Wafurika JANGWANI

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha.
 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 -2020.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan ilani ya uchaguzi ya CCM kwenye uzinduzi wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakionyesha Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015-2020  katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiye aliwakabidhi ilani hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakizungumza baada ya kukabidhi ilani kwa mgombea wa CCM.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.

 TOT wakitoa burudani kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.

 Wasanii wa bongo wakiwa jukwaani. 


 MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, akiongozana na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan, (kulia), akipungia mkono maelfu ya wafuasi wa chama hicho, wakati akiwasili viwanja vya Jangwani ambapo CCM ilizindua rasmi kampoeni zake kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.  
 
................................................................................
 
MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, na mgomeba mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, wamezindua kampeni za chama hicho kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo Jumapili Agosti 23, 2015, ambapo maelfu ya wana CCM walifurika kwenye viwanja hivyo. 

Katika uzinduzi huo wa kampeni ulioongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, Rais wa Zanzibar na mghombea kiti cha rais wa visiwa hivyo, Dkt. Ali Mohammed Shein, Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba na motto wa hayati baba wa taifa, Makongoro Nyerere.
 
Pia viongozi wengine waliokuwepo ni makamu wa rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na makamu mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula. Pia vikundi mbalimbali vya sanaa wakiwemo wasanii wa bongo flava kama vile Diamond Platinumz, na TOT, viliburudisha umati huo wa watu kutoka kila pambe ya jiji la Dar es Salaam na mikoa jirani ikiwemo Zanzibar.
 
 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, (katikati), Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, (kushoto), na naibu waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba.
 
 Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi.
 
 Dkt. Ali Mohammed Shein.
 
 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
 

 Dkt. Magufuli.
 
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, na Mgombea urais kupitia chama hicho, Dkt. John Pombe Magufuli.
 
 Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan.
 
Dkt. Magufuli


No comments

Powered by Blogger.