Header Ads

Dkt JOHN MAGUFULI atoa Pole Kwa Familia ya Mzee PETER KISUMO

 Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Peter Kisumo aliyefariki dunia jioni ya tarehe 3 Agosti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa marehemu Pater Kisumo, Hosiana Kisumo nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isevya ,Upanga,Dar es Salaam.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments

Powered by Blogger.