Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI ahutubia Maelfu ya Wananchi Jijini Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo. 

Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Jiji la Mwanza wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo. 

No comments

Powered by Blogger.