Header Ads

KATIBU MKUU WA CCM, NDG ABDULRAHMAN KINANA AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIMBO LA BUKOBA MJINI

1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Meneja wa uwanja wa Ndege wa Bukoba Bw. Julius Mulungwana wakati akikagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Kagera ambapo leo aliuwa katika jimbo la Bukoba mjini, Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza akingozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.

(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BUKOBA)

2  
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikiliza maelezo ya meneja wa uwanja wa ndege wa Bukoba Bw. Julius Mulungwana wakati akitoa maelezo juu ya ujenzi wa uwanja huo.

  3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua eneo la kupokelea mizigo ya abiria katika uwanja huo.

5
14
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. John Mongela akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. Khamis Kagasheki wakati walipokuwa wakijadili jambo.

7
Majengo ya kuondokea na kushukia abiria ambayo yameshakamilika kwa kiwango kikubwa.

8
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Nape Nnauye wakishuka kwenda kukagua chanzo cha maji katika mtaa Bunkango kata ya Nshambya.

10
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza risala aliyosomewa wakati alipokagua chanzo hicho.

12
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda juu mara baada ya kukagua chanzo hicho katika kata ya Nshambya.

13
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea soko kuu la Bukoba mjini.

15
Wadau mbalimbali wa Bukoba wakiwa katika picha ya Pamoja

19
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi wa habari katika kijiji cha Nyanga Lwomunda kuhusu wagombea wa CCM kushiriki katika midahalo.

20
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika utengenezaji wa barabara kwa njia ya kujitolea katika kijiji cha Nyanga.

24
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wahandisi mbalimbali wakati alipotembelea mradi wa maji wa Forodhani Bunena

25 26
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Ram Rekha Meneja Mkuu wa kampuni ya TechnicfabEngeneering Limited inayojenga mradi huo wa maji mjini Bukoba.Katikati ni Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. Khamis Kagasheki

27
Baadhi ya pampu ambazo zimeshanfungwa.

29
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. khamis Kagasheki.

30
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw. Jackson Msome akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru Platfoam

31
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. John Mongela akizungumza na wananchi katika mkutano huo.

32
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo.

33
Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.

34
Meza kuu

35 36
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wananchi mjini Bukoba katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru Platfoam.

37
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Uhuru mjini Bukoba.

38
Wananchi wakishangilia.

39
Wananchi wakitawanyika mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo

No comments

Powered by Blogger.