Baadhi ya watoto wanaoishi katika makazi ya dharura kwenye kijiji cha Kasanga wanapohifadhiwa waathirika wa mafuriko yaliyozikumba tarafa za Idodi na Pawaga, Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotembelea kijiji hicho kuwapa pole wananchi Februari 22, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment