Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana baadhi ya viongozi vya makampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino ya vofaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi bilioni 10 yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha, Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza, Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment