Benki ya NMB yakabidhi milioni 75 kusaidia Mkutano wa Makamanda Jeshi la Polisi
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia). Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga akishuhudia tukio hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga (wa kwanza kushoto), Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker wakiwa wamesimama wakati wimbo maalumu wa Jeshi la Polisi ukiimbwa na Maofisa Wakuu wa Jeshi hilo wanaoshiriki mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Baadhi ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakiwa wamesimama kwa ukakamavu huku wakiimba wimbo maalumu wa jeshi hilo. Mkutano huo umefunguliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga.

Baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Benki ya NMB (kulia) wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB imesaidia baadhi ya gharama kuwezesha mkutano huo kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kufanyika kwa kuchangia kiasi cha shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya gharama.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia). Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga akishuhudia tukio hilo.
Baadhi ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakipata maelezo juu ya bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki ya NMB. Benki ya NMB imesaidia baadhi ya gharama kuwezesha mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu akimtambulisha Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (wa kwanza kushoto) kwa baadhi ya makamishna wa Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo unafanyika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi. Katikati (mwenye suti nyeusi) ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela.
Mgeni rasmi katika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga (kushoto), akizungumza leo kabla ya kuzinduwa rasmi kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kinaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na meza kuu.
Post a Comment