Rais Dkt JOHN MAGUFULI ahutubia Siku ya Mwaka Mpya wa Mahakama Nchini
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu katika viwanja vya Mahakama Chimala
jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu katika viwanja vya Mahakama Chimala
jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
Sherehe za Mwaka mpya wa Mahakama(Siku ya Sheria).
|
![]() |
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika viwanja vya Mahakama
Chimala jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika
viwanja vya Mahakama.
|







Post a Comment