CCM yaadhimisha Miaka 39 tangu Kuzaliwa Kwake Mwaka 1977
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanachama
wa CCM pamoja na wakazi wa Singida kwenye uwanja wa Namfua.
|
![]() |
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Kikwete akihutubia mamia ya wanachama wa CCM mkoani Singida.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa katika sherehe hizo mkoani Singida.
|









Post a Comment