Header Ads

Waziri MWIGULU azungumza na Watendaji wa Shirika la Kupambana na Uhalifu UNODC

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba(katikati), akizungumza na watendaji wa  Shirika la Umoja wa  Mataifa la Kupambana na Dawa za  Kulevya na Uhalifu(UNODC),  Bi. Kaitlin Meredi (kulia) na  Johan Kruger(kushoto), walipomtembelea ofisini kwake,jijini Dar es Salaam,leo. Ziara hiyo ikiwa na lengo la kujadili njia muafaka za kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati),akiagana na Mratibu  wa Programu ya  Kupambana na Uhalifu wa Majini, Kaitlin Meredith, mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri,  jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Biashara Haramu ya Dawa za  Kulevya kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC), Johan Kruger.

No comments

Powered by Blogger.