Header Ads

Wananchi wa Maeneo Mbalimbali Kanda ya Ziwa Wafurika Kumsikiliza Rais MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.
  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akitoa taarifa fupi kwaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla kumualika kuongea na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.

 Dkt. Charles John Tizeba ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Buchosa na  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akisalimia wananchi mjini Sengerema kabla Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hajaongea.
  Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja akiwashukuru wananchi wa jimbo lake kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jimboni mwake  akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.

 Wakazi wa Sengerema wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipozungumza nao  akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.

 Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akimsaidia mwanahabari wa ITV kuripoti ziara ya Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Misungwi Mhe. Charles Kitwanga baada ya kuzungumza na wakazi na wasafiri eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwalimu Mstaafu Mama Zena Seif (61) ambaye alimfundisha darasa la tatu wakati akisoma shule ya msingi ya Chato, Hii ni baada ya kuzungumza na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini. 

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akiwa katika pantoni MV Misungwi wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akitoka kwenye  pantoni MV Misungwi wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  wananchi eneo la  Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.

  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wananchi eneo la  Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.

  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la  Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi. 

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Misungwi Mhe. Charles Kitwanga akimtajia badhi ya changamoto jimboni kwake mbele ya  wakazi  wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo akiongea na kumkaribisha  mbele ya  wakazi  wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo  eneo la Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wakazi mbalimbali wa Usagara.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi mbalimbali wa Usagara.
 Wakazi wa Usagara wakimuaga Rais...

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga wakazi mbalimbali wa Usagara.
 Sehemu nyingi alikuta wananchi wametanda barabarani wakimtaka awasalimu na kuongea nao.

 Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula akiongea na wananchi waliokuwa wametanda barabarani kutaka kumsikia Rais.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Buhongwa nje kidogo ya jiji la Mwanza.

  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mamia ya wananchi wa Mwanza waliofurika barabarani kumsubiri.

 Palikuwa hapatoshi...

 Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anawaambia wananchi kwamba yeye ni Rais wa kila mtu nchini na atawatumikia wote bila kuwabagua.

  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku wakimtaka aendelee kuongea nao.
  
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Kila mtu alikuwa na shauku yakumuona na kumsikia Rais.

 Wengi walitumia simu zao za mkononi kunasa kila alichokisema.

  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Wananchi wameziba njia ili kumtaka Rais asiwapite bila kuongea nao.

  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuongea na wananchi wa Mwanza. 
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahakikishia wananchi wa Mwanza kwamba atawatumikia wote bila kujali dini zao, makabila yao wala  itikadi zao za kisiasa.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
  Wananchi wa Mwanza wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Msafara unapokaribia katikati ya jiji la Mwanza unakutana na umati mkubwa wa wananchi.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anajikuta hana jinsi bali kuzungumza nao.
 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.

  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuzungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.

  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzungumza na wananchi baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. 

PICHA ZOTE NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.