Header Ads

tiGO FIESTA SUPER NYOTA 2016 yaliteka Jiji la Mwanza

Msanii pekee wa kike aliyeingia Fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza,Yasinta akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Rock Bottom jijini Mwanza jana. 
Msanii mdogo kuliko wote kwenye  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, Aga Star akionyesha kipaji chake.
Msanii Nchama akiwania nafasi ya kushiriki fainali za Tigo Fiesta Super Nyota zitakazofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini mwanza jumamosi wakati wa msimu wa fiesta.
Majaji wakiongozwa na Gardener G Habash(katikati) wakihesabu kura kwenye mchuano wa  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza.
Washindi walioingia fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments

Powered by Blogger.