Rais Dkt MAGUFULI awajulia Hali Spika JOB NDUGAI na Mzee JOHN MALECELA
![]() |
| . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela ambaye anapata matibabu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsalimia Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela ambaye anapata matibabu jijini Dar es Salaam. |





Post a Comment