Header Ads

Naibu Waziri wa Elimu Mhandisi STELLA MANYANYA ahudhuria Mahafali ya BROOKHOUSE INTERNATIONAL SCHOOL

Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akitoa Hotuba kwa wanafunzi pamoja na wageni waalikwa.

Mwalimu wa Taaluma wa Brookhouse International School Omega Kessy akitoa neno la utangulizi wakati wa mahafali hayo.

Mwalimu Mkuu wa Sunrise Nursery  and Primary School Bw. Onesphor Vitalis akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa waliofika katika Mahafali hayo ya shule ya awali.

Mkurugenzi Mkuu wa Sunrise Nursery and Primary School Bi. Marry Shirima akitoa maelezo ya kina juu ya shule hiyo, kumshukuru mgeni rasmi kufika katika mahafali hayo ya watoto wa shule ya awali pamoja kuwapongeza kwa kuhitimu.

Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International School Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akimpa mmoja wa watoto cheti cha kuhitimu Elimu ya awali.
Watoto wahitimu wa Shule ya awali wakiendelea kupokea Vyeti vyao.
  
Mh. Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee akiwa katika mahafali hayo.
Baadhi ya watoto wahitimu wa shule ya awali  wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi.

No comments

Powered by Blogger.