Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wa pili kulia), akishirikiana na viongozi wengine
akiwemo Mbunge wa Jimbo la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa(wa kwanza kushoto),kuzindua ujenzi
wa kituo cha polisi kinachojengwa katika Jimbo la Segerea ikiwa ni mkakati wa
kupambana na uhalifu katika jimbo hilo.
|
Post a Comment