Header Ads

Mbunge wa Igunga Dkt DALALI KAFUMU atembelea Familia Zilizovamiwa na Tembo

Mbunge wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora Dkt DALALI KAFUMU akiangalia nyumba Zilizoharibia na Tembo Wavamizi katika kata ya Igoweko na kusababisha Kifo cha Mtoto wa miaka 14 pamoja na kuharibu Maghala ya kuhifadhia Chakula katika wilaya hiyo.

Mbunge wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora  Dkt DALALI  KAFUMU akizungumza na moja ya Familia iliyovamiwa na  Tembo na kusababisha kifo cha mtoto wa miaka 14, katika kata ya Igoweko Wilayani humo.
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mkoani Tabora Dkt DALALI KAFUMU akikagua moja ya ghala la kuhifadhia Chakula ambalo liliharibiwa vibaya na Tembo waliovamia katika Kata hiyo ya Igoweko mkoani humo. 

No comments

Powered by Blogger.