Header Ads

Waziri wa Afya UMMY MWALIMU afanya Mazungumzo na Balozi wa Ujerumani EGON KOCHANKE

Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu (kulia kwa waziri)  akimsikiliza  Balozi wa Ujerumani nchini ,Egon Kochanke (Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo.
ni Baadhi ya ujumbe wa ubalozi wa Ireland ukisalimiana na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu.

No comments

Powered by Blogger.