Maandalizi ya kumwapisha Rais Mteule wa Zanzibar yanaendelea katika uwanja wa Aman Zanzibar,jukwaa kuu la viongozi. Picha mbalimbali za Maandalizi ya kumwapisha Rais mteule wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein katika uwanja wa Aman.
Post a Comment