Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akiongozana na Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Kigoma, SACP Sabas Matolo(kushoto) na Mkuu wa Gereza la Bangwe,SSP Raphael
Mwanyingile(kulia), alipofika kutembelea gereza hilo katika ziara ya kikazi
mkoani Kigoma tarehe 31/3/2016.
|
Ukitaka kuonana na wazir Hamad masaun upitie wap?
ReplyDelete