Header Ads

Rais wa Vietnam TRUONG TAN SANG arejea Nchini Mwake


Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh  wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.

Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh   wakiagana  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.

No comments

Powered by Blogger.