Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA apokea tuzo za Wana Filamu SINGLE MTAMBALIKE na LULU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  baada ya kupokea tuzo za wasanii wa filamu nchini walizoshinda nchini Nigeria. Wasanii hao ni Elizabeth Michael na Single Mtambalike, Shughuli hiyo ilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Wasanii wa filamu  Elizabeth Michael na Single Mtambalike baada ya kupokea tuzo  za wasanii hao walizoshinda nchini Nigeria. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo  kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigeria.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa msanii wa filamu, Single Mtambalike ambayo  msanii huyo  alishinda nchini Nigeria. 

No comments

Powered by Blogger.