Maombi ya nafasi za Mafunzo kwa Mwaka wa Masomo Machi 2016/17 Kada ya Afya Zipo hapa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara.
Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii, watume maombi yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.
Baadhi ya wauguzi wa Kada ya Afya
Post a Comment