Rais wa Vietnam TRUONG TAN SANG aanza Rasmi Ziara yake Nchini TANZANIA alakiwa na Mwenyeji wake Rais Dkt JOHN MAGUFULI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong
Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
| Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akikagua gwaride la heshima katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili. |
Rais
wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia wananchi na wafanyakazi wa Ikulu mara baada ya kuwasili.
|
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakati walipokuwa wanazungumza Ikulu jijini Dar es Salaam. |

Post a Comment