Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais
wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad jijini Dar es Salaam. Maalim Seif
aliruhusiwa kutoka hospitalini jana na hali yake inaendelea vizuri.
|
Post a Comment