Watumishi
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika mkutano wa kumuaga aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, ambaye sasa ni Katibu Mkuu,
Ofisi ya Makamu wa Rais, na kuwakaribisha Katibu Mkuu mpya, Meja Jenerali
Projest Rwegasira na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahaya, Hafla hii ilifanyika katika Makao Makuu ya
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
(PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA
SERIKALI – WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
|
Post a Comment