Jaji Mkuu OTHMAN CHANDE afungua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini
Watumishi wa Mahakama
ya Tanzania na wadau mbalimbali wa wakiingia katika viwanja vya Mnazi mmoja kwa
maandamano leo jijini Dar es salaam wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki
ya Sheria.
Watumishi wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Askari wa Jeshi la Magereza na
Watumishi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wakiwa wamebeba mabango ya
Ofisi zao wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini leo jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande (Mwenye T-shirt nyeupe kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Said Mecki Sadiki (wa Pili kulia) na Watendaji wa Mahakama ya Tanzania
wakishiriki mazoezi ya viungo ya pamoja na wadau mbalimbali wa Mahakama leo
katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini.
Jaji Kiongozi Mhe.
Shaban Lila (katikati) akiongoza mazoezi ya pamoja ya Wadau wa Mahakama leo
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakati wa Ufunguzi wa Wiki ya Sheria nchini.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande akizungumza na wadau mbalimbali wa Mahakama waliohudhuria
Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria mwaka 2016 katika viwanja vya Mnazi mmoja leo jijini
Dar es salaam.
Baadhi ya Wanachi wakifuatilia
matukio mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini leo jijini Dar es salaam.
Wengine katika picha ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omary Othman Makungu
(wa tatu kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (wa
tatu kutoka kushoto) na Jaji Kiongozi Mhe. Shaban Lila (wa pili kutoka kushoto).
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na Watendaji wa
Mahakama, Viongozi na Askari wa Jeshi la Polisi wakati wa Ufunguzi wa Wiki ya
Sheria leo jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki
(wa tatu kutoka kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omary Othman Makungu (wa
tatu kutoka kulia) na Jaji Kiongozi Mhe. Shaban Lila (wa pili kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) leo katika
viwanja vya Mnazi Mmmoja wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki
(wa tatu kutoka kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omary Othman Makungu ( wa
tatu kutoka kulia) na Jaji Kiongozi Mhe. Shaban Lila ( wa pili kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na Baadhi ya
Watendaji na Watumishi wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Msajili wa Mahakama, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Mahakama ya Tanzania leo wakati wa Ufunguzi wa Wiki ya Sheria. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki (wa tatu kutoka kushoto).
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akiwa
katika picha ya pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza leo wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo
mbalimbali vya Mahakama ya Tanzania wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki
ya Sheria nchini.
Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na Watumishi wa
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS).
Post a Comment