Rais Dkt JOHN MAGUFULI apokea hati za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Ikulu Jijini Dar es Salaam
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 |
| Balozi wa Jamhuri ya Korea Mhe. Song Geum-young na Maafisa wa Ikulu na wa Wizara ya Mambo za nje wakisimama wakati nyimbo za Taifa zikipigwa. |
Post a Comment