Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa serikali, Viongoze wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment