Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahudhuria Hafla ya Chakula cha Usiku Kilichoandaliwa Kwa Ajili ya Rais wa VIETNAM

Mkewa Rais Mama Janeth Magufuli  alimwongoza Mke wa Rais wa Vietinam, Mai Ti Hahn (kushoto) kwenda kwenye chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang. Wapili kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson.
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Salma wakiingia kwenye  ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam kushiriki   chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang. 
 Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi Celestine Mushy wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashari, Kikanda na Kimataifa katika chakula cha jioni alichoandaa Rais John Magufuli ikulu jijini Dar es salaam Machi 9, 2016 kwa heshima ya Rais wa Vietinam, Truong Tang Sang.
Rais John Magufuli akiteta na Rais Mstaafu Ali Hasan Mwinyi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Vietinam,  Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016.
  Rais John Magufuli akizungumza na  Marais Wstaafu Ali Hasan Mwinyi na Jakaya  Kikwete  Waziri Mkuu katika  chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Vietinam,  Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha UDP,John Cheyo chakula cha jioni ambacho Rais John Magufuli alimwandalia  Rais wa Vietinam,  Truong Tang Sang, Ikulu jijini Dar es salaam Machi 9,2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.