Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afungua Miradi ya Maendeleo Wilayani MEATU
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maabara ya Shule ya Sekondari ya Mwakalubi katika jimbo la Kisesa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akikagua shamba la pamba la mfano la mkulima Gamuga Kimali katika kijiji cha Nandoya wilayani Meatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016. |
Post a Comment