Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Ziara ya Kikazi Wilaya ya BARIADI akagua Miradi ya Maendeleo
| Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akikagua ujenzi wa nyumba ya kuishi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akiwa akika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3, 2016. |
Wasanii wa Bariadi wapiga ngoma wakati Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa alipowasili kwenye bwawa la Ng'wansubuya wialayani Bariadi kufungua bwawa hilo Machi 3, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
| aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kufungua bwawa la umwagiliaji la kijiji cha Ng'wasubuya wilayani Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua Bwawa la umwagiliaji la kijiji cha Ng'wasubuya wilayani Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la Ofisi ya CCM ya wilaya ya Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 3, 2016. |
Post a Comment