Watumishi wa PPF wakabidhi Msaada Hospitali ya MWANANYAMALA katika Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati)
akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali Caroline Hanne Van, Raia wa
Denmark kwa niaba ya watoto wawili (kitandani) waliodaiwa kuokotwa jana maeneo
ya Mbezi Beach na kufikishwa hospitalini hapo leo asubuhi, wakati Wafanyakazi
wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani iliyoadhimishwa leo Machi 8, 2016. Kushoto ni Emel Kudahl Christensen
na wa tatu (kulia aliyekaa) ni Emma Nikoline Wennberg, wauguzi wa kujitolea
kutoka nchini Denmark.
Picha na Mafoto Blog
Picha na Mafoto Blog
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa
wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti, wakati
Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada
wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya
Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.

Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada
wa vitu mbalimbali mzazi aliyejifungua mtoto wa Kiume, Hospitali ya Mwananyama,
Joyce Lucas, mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam, wakati Wafanyakazi wa
Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani iliyoadhimishwa leo.
Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada
wa vitu mbalimbali kwa wazazi waliokuwa wamelazwa kweye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti
katika Hospitali ya Mwananyama, wakati Wafanyakazi wa
Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani iliyoadhimishwa leo.
Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada
wa vitu mbalimbali mgonjwa mzazi aliyelazwa kwenye Wodi ya kina mama
waliofanyiwa upasuaji Hospitali ya Mwananyama, jijini Dar es Salaam, wakati
Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada
wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya
Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.

wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (wa pili kulia) na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janet Ezekiel, wakiwaangalia watoto wawili waliodaiwa kuokotwa maeneo ya Mbezi Beach, waliofikishwa Hospitali ya Mwananyamala.
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo.
Picha ya pozi ......
Picha ya pozi na mtoto.....

Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakisubiri kuingia wodi ya wazazi wa upasuaji kugawa msaada wa vitu mbalimbali leo.
Wafanyakazi hao wakipozi na baadhi ya vitu walivyoshusha kwenye magari yao kabla ya kuanza zoezi la kugawa.
Wafanyakazi hao wakiendelea kushusha vitu hivyo kutoka kwenye magari...

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya zoezi la kugawa vitu hivyo leo kwenye Hospitali ya Mwananyamala.
Post a Comment