Rais wa Vietnam TRUNG TAN SANG atua Nchini Kwa Ziara ya Siku tatu
| Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakipunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. |
| Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini. |
Post a Comment