Rais Dkt JOHN MAGUFULI awaongoza Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki Kuzindua Barabara ya ARUSHA-HOLILI / TAVETA-VOI KM 234.3
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na viongozi
mbalimbali wa ndani na nje ya Nchi.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya sherehe za uzinduzi wa barabara hiyo kukamilika. |
Post a Comment