Rais Dkt JOHN MAGUFULI akagua Ujenzi wa Kituo cha Kufua Umeme cha KINYEREZI II
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akianza ukaguzi
katika Mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi I nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam.
|
![]() |
Wananchi
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akiwahutubia huko Kinyerezi nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam.
PICHA NA IKULU
|







Post a Comment