Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI ahakikishiwa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Kwa Kasi ya Ajabu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki, Javier  Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wajumbe walioambatana na  Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki, Javier  Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,    Javier  Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.