Mke wa Rais Mama JANETH MAGUFULI awataka Wadau Kujitokeza kusaidia Wazee na watu Wasiojiweza
![]() |
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali,
Chama pomaja na Wananchi walifika kumpokea alipowasili uwanja wa ndege Jijini
Mwanza.
|
![]() |
wa
Rais Mama Janeth Magufuli akiangalia burudani ya ngoma alipowasili uwanja wa
ndege Jijini Mwanza.
|
![]() |
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei mara baada ya
kumaliza kuongea na wazee.
|
![]() |
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na wazee katika kituo cha kulea wazee
na watu wasiojiweza cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
|







Post a Comment