Dkt BILAL akutana na Balozi wa INDIA nchini TANZANIA kwa Mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na balozi
wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep
Arya, baada ya mzungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015.
Picha na OMR
Post a Comment