MBATI, SELASINI na KOMU wapeleka Mabadiliko Jimbo la MOSHI Vijijini
![]() |
| Viongozi wa Chadema wakiwasili katika uwanja wa Limpopo TPC kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni kwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo,Anthony Komu. |
![]() |
| Baaadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wakiwa katika mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Rombo ,Joseph Selasini ,akizunbumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika jimbo la Moshi vijijini. |
![]() |
| Wananchi wakifuatolia mkutano huo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Kilimanjaro,Helga Mchomvu akizungumza katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Moshi vijijini. |
![]() |
| Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,Chadema,Emanuel Mlacky akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mbunge wa Vitimaalumu anayemaliza muda wake,Grace Kihwelu akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mbatia akimtamburisha mgombea udiwani katika kata ya Arusha Chini,Rojas Mmary mbele ya wapiga kura. |
![]() |
| Mbatia akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini,Anthony Komu katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika kata ya Arusha chini TPC. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini ,Anthony Komu akizungumza katika uzinduzi wa mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo,James Mbatia akitamburisha familia ya Anthony Komu. |




























Post a Comment