KISSA Pharmacy watembelea Mapango ya Amboni TANGA
| Wafanyakazi Kissa Pharmacy wakisikiliza kwa makini maelezo ya mmoja wa watoa huduma katika mapango hayo Ndugu Allan Yohana kabla ya kuanza rasmi shughuli ya kutembelea mapango hayo. (JAMIIMOJABLOG) |
| muonekano kwa baadhi ya maeneo ndani ya mapango hayo ya Amboni Caves . |
| Mkurugenzi Kissa Pharmacy Mbeya Ndugu Gasper Kilango Singo akiwa ndani ya mapango hayo . |
The Amboni Caves are the most extensive limestone caves in East Africa. They are located 8 km north of Tanga City in Tanzania off the Tanga-Mombasa road. The caves were formed about 150 million years ago during the Jurassic
age. It covers an area of 234 km². According to researchers the area
was under water some 20 million years ago. There are altogether ten
caves but only one is used for guided tours.
Post a Comment