Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka
Umoja wa Nchi za Ulaya, Judith Sergentine (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Nchi
za Ulaya Tanzania, Filiberto Cebregondi, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuwasili nchini. |
Post a Comment